
SONGA NAYO........... CLIFF alinikumbatia Kwa nyuma akiwa Analia nilikua na hasira nikahisi kama Kuna kitu kimenikaba kooni roho ilikua inaniuma sio kidogo nikifkilia kumbe alikua anabadilisha wanawake kweli inamana kanisaliti ikiwa mm nilivumilia ckufanya na mtu yyt Zaid ya Agrey na ilikua mara Moja tu kwann yeye afanye Zaid ya maramoja Tena na wanawake tofaut tofaut iliniuma Sana nikamwambia cliff naomba uniache usinishike niache cliff akaniambia Annabell auwez kuondoka em niskilize kwanza nijielezee sikuwa nabadl wanawake Kila siku kama ulivyoambiwa apana ila Anna mi mtoto wa kiume nnahisia siwez kukaa mda mrefu Sana bila kufany mapenz naweza kuvumilia ata miez
0 Comments