
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐊𝐀 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 🫨😋 SONGA NAYO............ Si nilikua nimelala pale kwnye sofa nikaamka nikakaa nikawa namtazama Sina Cha kuongea mana dk chache tu nilitoka kumlaumu yeye amenisaliti sa apa nasemaje na akijua nmefanywa na Agrey itakua shughl nikamwambia cliff em achana na grey ni anakuonea tu wivu kwasababu cko nae unajua alikua anataka tuwe pamoja lkn imeshindikana ndo mana 😔😔 cliff akaniambia mi sio mtoto mi ni mtu mzima na najua nn kinaendelea apa usiniongopee umelala na grey wewe nikamjibu lkn ningefanyj Sasa na uliniacha akanisaidia cliff jmn tusiludishe mambo nyuma plz tufanye yameisha mm na Ww wote tulikosea nikamuona
0 Comments