𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐊𝐀 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 🫨😋 😋🔥 30

𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐊𝐀𝐊𝐀 𝐀𝐒𝐒𝐒𝐒𝐇 🫨😋 😋🔥 30

Nikafungua mlango nikaingia ndan kwa brie walivyoniona wakashtuka walikuja wapo watatu brie Diana na kile kischana kilichokuja Kwa cliff bas nikawatazama nikawauliza sa mnafanya yote ayo ili Nan aje aolewe na cliff wewe ,wewe,au weee niliwanyooshea vidole kuwapoint wakanyamaza tu nikamwambia brie Yan ni bola ningepata mlemavu angu aliekufa kidg ingekua afadhali lkn ww sio mtu kabsa ni nn unafanya brie ivi kwann umebadilika Sana auna utu ata kidogo unavyotaka kunialibia ulikaa ukaniulz km unachokifany Kiko sahihi? Brie akanijib sijal usahihi au sio sahihi nnachojali furaha yangu na furaha yenyew ni kuona unaachna na cliff mana unavyolinga Nae kma vile

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments