
finally Nililia kwa nguvu sanaππ nilijua tu ni taarifa ya msiba bibi na Maggie walikua wananibembeleza ila brie alikua ananicheka yan uyu mtoto asipokua mwanga atakua jambazi yn mimi nna huzun yeye anacheka fala sana uyu ππ mama akapokea akasema eeh asante mung haya mwambie ampigie mwenzake bas ili amtoe hofu sawa hayahaya...mi nilivyoskia Ile Asante mung nikasema Nini mama mama akaniambia cliff ajambo ajaumia anasema pikipik ilimpush tu kidg nikasema ooooppppps Asant mung kidogo sim yang iliita nikapokea haraka alikua ni handsome wangu nikamuulz unaendeleaj niambie upo wapi nije akaniambia tulia mpenz wangu mm sijambo ni mzima wa afya
0 Comments