
Usiku mzima Hemed hakuniongelesha kitu chochote namm sikutaka kumuongelesha nililala zangu kimya nikajikausha mpaka asubuhi niliwahi kuamka nikamwandalia kiamsha kinywa then nilirudi chumbani kwa ajiri ya kujiandaa kwenda kazini.... nilivyotoka bafuni nilimkuta hemed bado yuko chumbani alikuwa anamalizia kuvaa ... darling nimeandaa break fast kwa ajiri yako nina imani utaenjoy nilijipendekeza kumuongeresha make usiku kucha tulilala bila kuongea na hata asubuhi nilipoamka nikamsalimia aliitikia ilimradi tu😩😩baada ya kumtaarifu kuhusu chakula nilichoandaa kwa ajiri yake aliitikia thank you.... hiyo thank you ilijibiwa like sitaki nataka😩😩 mbona hivi baby nini shida kwani niliamua kujifyatua akili nikamuuliza hivyo🙈🙈 alinikata jicho🌚🌚 nilirudi kinyume nyume
0 Comments