AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 64๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Baada ya paschal kuondoka pale Hemed alinichekiiii ๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช kisha nayeye akaondoka akaniacha pale bila kuniongelesha chochote๐Ÿซฃ au ndo nimeachwa na wote☺️☺️ sa mbona hivi๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž aah haya mambo ya kumiliki njemba mbili mbichi mbichi ambazo bado damu zinachemka yatakuja kunitokea puani๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ kibaya zaidi wameshajuana natakiwa kufanya maamuzi yupi niwe naye na yupi niachane naye hizi drama zitajasababisha wauane watoto wa watu๐Ÿ˜๐Ÿ˜..... nilirudi ofisini wachache waliogundua kinachoendelea walibakia kuniangalia hawanimalizi๐Ÿคช๐Ÿ˜œ nilipita zangu kimya kimya hadi ofisini kwangu nilikikuta kile chakula alichokuwa kaniletea hemed kwa ajiri ya lunch.....oh bestie umerudi hope umekutana na boy friend wako hapo nje but surely I don't understand

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments