
Basi bwana . Mama akapika . Shoga yenu nilikula kidogo mnoo. Mama akamvuta mtot ndio akamlisha na rahul anawahi kuzoea watu . Anaanza kumuuliza mama . We nani . Sijuh ww apa ndo kwako. Mbona baba harudi. Nyieee ananitibua akimuulizia uyo baba ake ni basi tu. Basi mama anakuwaa anamjibu jibu. Mimi ni bibi. Yani hivyo ile kumchangamsha tu mtoto. Basi nikamuuliza baba yuko wapi. Mama akanmbia kaenda katoro bado babu anaumwa sana .mh uyo babu yngu ni mzeee jamani. Ila hafi nakwambia🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌. Ni anaumwa kalibia miaka 8 ssasa. Ila wala hafi .na mzee anaendaga sana kumuuguza uko kwake. Basi
0 Comments