AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 65๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Mmmhhh kwa hiyo hemed kumbe ni kamalaya๐Ÿ˜ฃ๐Ÿ˜ฃ hebu ngoja nimpigie simu nimuulize yuko wapi๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ au niende nikamfumanie ili nipate sababu ya kuachana naye kaishaanza kuniudhi et bora niondoke kwake nimuache peke yake๐Ÿ˜๐Ÿ˜ baby mie nataka kuondoka nirudi nyumbani ๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œ oh sweery heart lakini ujue kukaa kwako kule nyumbani kwa Hemed kunaniumiza sana mimi yani hata kama haujawa tayari kurudi hapa nyumbani ni bora uniambie mimi nikutafutie sehemu nyingine ukae na watoto kuliko hivyo unavyoendelea kukaa na yule mwanaume unaniumiza et๐Ÿคจ๐Ÿคจ pole mme wangu basi nitafutie nyumba nyingine ili niondoke pale nyumbani kwa Hemed.....wazo la paschal nililipenda sana la kunipangishia nyumba

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments