REALLY LOVE* Chapter 17

REALLY LOVE* Chapter 17

alisema mama cathe kwa mama usiseme mimba mama huwenda homa tu alisema cathe huku analia sana kwakweli alijutia sana mpumbavu mkubwa wewe hivi unayaona hayo matapishi mjinga mkubwa wewe cathe unatutia aibu sana umetutia albนนนนนนนนนนนนน alisema mama cathe jwa hasira sana, mtoto talla sana wewe mtajuwana na mama yako nakama unamimba untagute haraka baba wa huo ujauzito aje apa tukuozeshe sitaki kulea. mjukuu asiye na baba nimemaliza alisema baba catherin kisha akanyanyuka kutaka kuelekea ndani lakini ghafla mlango ulifunguliwa. akaingia calor mtoto wao wa kiume aliyetoka masomoni ndo anafuka muda huo alikuja kwa tabasam sana lakini aliwashangaa wazazi wake walivyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments