AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 NO 07💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 NO 07💘💘

Baada ya boo 💋 kunilaza pale kitandani aliondoka lakini kabla hajafungua mlango mie niliamka pale kitandani nikamkimbilia pale mlangoni nilimkumbatia Kwa nyuma huku nikiwa namuita boo💋 najua pombe zilikuwa zinachangia Kwa kiasi chake lakini ukweli ni kwamba Moyo wangu ulishampenda boo Paschal! Ni vile tuu huku kwetu Africa ni ngumu mwanamke kumtongoza mwanaume ningeshamtongoza boo baada ya Mimi kumkumbatia paschal aligeuka tu akawa ananiangalia nilijisogeza Karibu yake kabisa nikawa namtizama machoni kwake hisia nzito ziliuvamia mwili wangu nilishindwa kuendelea kumtizama boo nikawa nimejilaza kifuani kwake mkono wangu wa kushoto taratibu nilianza kumpapasa pale kwenye zip yake ya suruali Paschal alitulia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments