๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ ALAIN ANICET OURA na ISMAEL TOURE wamekutana tena kwa mara nyingine na SIMBA SPORTS CLUB ๐Ÿฆ

๐Ÿšจ๐Ÿšจ๐Ÿšจ  ALAIN ANICET OURA na ISMAEL TOURE wamekutana tena kwa mara nyingine na SIMBA SPORTS CLUB ๐Ÿฆ

»Wakati STEVE BARKER anamsajili ndani ya STELLENBOSCH FC haya ndio yalikuwa maneno yake kuhusu ANICET OURA....✍๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿฟ ๐Ÿ—ฃ️“OURA ni kipaji kinachovutia sana na ni aina ya mchezaji tunayehitaji. Ni mchezaji MBUNIFU anayependa kucheza kwa UBUNIFU na ni mgumu sana kuchezwa dhidi yake. Ana ujuzi mkubwa wa KIUFUNDI na ana KASI, NGUVU, na tabia isiyotarajiwa kwenye mchezo wake.๐Ÿ“Œ Haya maneno ndio sababu za kwanini amemtaka tena kufanya nae kazi......✍๐Ÿพ ⚠️Yes! Narudia Tena Kusema Hivi: ANICET OURA HILI NI BALAA JIPYA NCHINI ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments