AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 NO 10💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘   NO 10💘💘

Baada ya baba yake Paschal kupatikana na kufanya mawasiliano na wale maaskari! Mimi niliruhusiwa kuondoka pale kituoni! Nilirudi pale hotelini nilikuwa na mawazo sana sikuweza kulala usiku kucha nilikesha huku nikiwa nasali Kwa ajiri ya Boss Paschal kesho yake asubuhi Kuna kikao tulitakiwa kuhudhuria ni Cha muhimu sana lakini Ndo hivyo boss Paschal ni mgonjwa niliamka nikajiandaa baada ya Hapo nilipiga simu kuwataarifu uongozi ya kwamba hatutoweza kuhudhuria katika kikao kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu! Baada ya kuwapatia taarifa niliondoka kuelekea hospital sikuruhusiwa hata kumuona boss Paschal machozi mfululizo yalikuwa yanamiminika usoni kwangu boo tafadhari nakuomba usije

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments