AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 NO 09💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘   NO 09💘💘

Boss Paschal aliendelea kunilisha taratibu Kwa mapenzi mazito Kila alipozidi kunilisha huku akiwa ananitizama Kwa upole ndivyo ambavyo moyo wangu ulizidi kuvutiwa Naye! Tayari boss nimetosheka naomba ule na Wewe 🙈🙈 nilimwambia hivyo Paschal make alikuwa ananilisha Mimi tu🙈🙈 ni muda wa kula sote Sasa Hilo pengo limezibwa la mchana Bado la Usiku😁😁 alianza kula na kunilisha duh rahaa baada ya Chakula nilikaa kama nusu saa hivi paschal akawa amenipatia dawa nikanywa baada ya Hapo aliniomba nipumzike yeye aliuchukua ule mzinga wake akataka kutoka kule chumbani nilinyanyuka pale kitandani kwake nikamwambia Baby no imean boss nakuomba usinywe tafadhari 🥲 pendo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments