
Usiku nikiwa katika usingizi mzito Kule nyumbani Kwa Boss Paschal! nilihisi ni kama vile Kuna mtu alikuwa akinipapasa mwilini kwangu haraka nilikurupuka usingizini nikayafungua macho yangu yaliyokuwa na usingizi mzito baada ya kuyalazimisha macho kufunguka nilishangaa kumuona Mika akiwa katika chumba changu.... ""Mika You😢"" ""Pendo nyamaza ukithubutu kupiga kelele nakumaliza🤫 Mika aliongea Kwa sauti ya chini huku akiwa amekiweka kidole mdomoni kwake Kama ishara ya kunitaka Mimi ninyamaze kimya! Nilianza kutetemeka Kwa uoga Mika Kuna Nini!? Nilimuuliza huku machozi yakiwa yananitoka.... Nakupenda pendo lakini naona moyo wako umeshampenda huyu ibilisi🥺🥺 nakupa machaguo mawili laa sivyo nitakuua...... Mika tafadhari nakuomba usije
0 Comments