AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 NO 13...14💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  NO 13...14💘💘

Pendo uko sawa!? Aliniuliza Boss Paschal! Yeah I'm okay boss! Lakini unaonekana mwenye wasiwasi sana na hapo mkononi umekuwaje mbona kama vile Kuna kijeraha oops 😴😴 Boss Paschal aliiona Ile sehemu mkononi aliponijeruhi Mika Jana usiku kipindi alipokuja chumbani kwangu bila taarifa! Hapa niliumia nilijibu huku nikiwa na kigugumizi Mika alinikonyeza Kisha akaniongelesha Kwa ishara aliniambia nikijaribu kuongea chochote basi atanitoa roho! Samahani boss naomba niondoke muda huu kuelekea nyumbani kwetu! Pia kama hautojali naomba uweze kunipatia likizo kazini natamani kupata muda wa kupumzika! Kupumzika🫣🫣!? Aliuliza yule mnafiki Mika! Yani pendo hata mwezi tu Bado hujamaliza ushatamani kupumzika 😝😝 Mika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments