AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘(1_5)

AAAAH IMETOSHA BOSS💘💘(1_5)

SEHEMU YA 01 Siku ya kwanza Leo unaenda kazini Binti yangu hebu njoo kwanza tufanye maombi😊😊 Sawa Mom 🥰🥰..... Baada ya maombi my Mom alinipatia baraka zake nikawa nimetoka kuelekea ofisini! Ilikuwa ni mida kama ya saa mbili asubuhi hivi nilipanda tax nikaelekea katika ofisi Moja ya mitaa ya mikocheni ndiko nilikokuwa nimebahatika kupata ajira.... Baada ya kufika katika ofisi Ile nilikutana macho Kwa macho na Boss kijana ambaye ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona Nakumbuka siku niliyoenda kufanya interview ofisini hapo alikuwepo Boss fulani hivi Mzee wa kizungu!...but siku hii nilivoenda kuanza kazi nilikutana na Boss mpya handsome

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments