
Wewe chukua Sweta uvae 😳😳 aliniambia Mr Paschal baada ya kuniona vile ninavyoteseka Kwa baridi...... Boss nilisahau kuiweka Sweta kwenye bag😟😟 ukasahau🤷🏼♂️why usahau na nilikwambia mapema kuwa huku Kuna baridi sana🌚🌚 nilisahau et! Mr Paschal aliivua Sweta yake aliyokuwa ameivaa akanipatia nivae🙈🙈 kale kafilling nilikokapata🤸🏻♀️🤸🏻♀️ kwanza hiyo Sweta siyo ya kibongo my zangu😆😆 ni kitu original kutokea USA 🤸🏻♀️🤸🏻♀️ niliivaa then nikamtizama Mr Paschal machoni kwake nilimwambia thank you 🙈🙈! Aliniangalia then akaniambia it's okay pendo feel free! Haaa hivi ni yeye Kweli au naota🫣🫣 Mr kufoka Leo Kawa mpole Hadi ananiambia nifeel free🤣🤣 he is shangaza me Kwa Kweli!
0 Comments