ABEE SHEMEJI….(1)

ABEE SHEMEJI….(1)

MTUNZI…EMMANUEL F.KWAY(THE STORY MASTER) WatsApp…+255718 862176 AGE…(18+) ******* “No Kassim. Hapana! Si..wezi, Mungu wangu….” “Hajrath, nisikilize. Huwezi kufanya nini? Ndio ishatokea sasa” “Ni mme wangu lakini” “Namimi ni Kaka yangu, Hajrath. Niangalie usoni” “N..o Siwezi, Eeeh Mungu wangu. Ahmed Ahmed amka basi” Kila mtu alionekana kupigwa na butwaa usiku wa siku hiyo, siyo Hajrath wala Kassim. Kila mtu alipagawa vya kutosha. Lakini mmoja wapo kati ya watu hao wawili, alionekana kuchanganyikiwa zaidi, huyu ni Hajrath alikuwa mara azunguke mara ashike hiki. Hakuamini kama mme wake wa ndoa yupo chini, amelala katulia. Kichwani kwake ilikuja taswira ya milango ya gereza, inafunguka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments