
π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄ _________________________________* *1 na 2* Kwa majina naitwa faridah. Mimi ni mtoto wa mwisho kwenye familia ya watoto 6. Ila nilkuwa mtoto wa kike peke yangu kwenye familia yetu. Yani mimi nilifunga dimba kwa baba na kwa mama.na ndo nilikuwa binti wa pekee. Mi nilipata upendo mkubwa sana kwa mama na kwa baba. Asa baba alizidi jamani. Yani baba yangu ananipenda mno .mpaka mwenye najua apa napendwa mimi. Yani sijuh ata niwaambiaje. Mimi bwana nilikuwa naishi kagera wilaya ya biharamulo. Kijiji kimoja kinaitwa nyantakara. Na mimi ni msukuma . Ila mama yangu ni muhaya. Apo katika kjiji cha nyantakara ndo
0 Comments