Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952.

Bappi Lahiri jina lake halisi ni Alokesh Aparesh Lahiri ambaye amezaliwa tarehe 27 Novemba mnamo mwaka 1952.

Alikuwa ni mwimbaji, mtunzi na mtayarishaji wa muziki kutoka India ambae alifahamika zaidi kama Disco King kwa kutengeneza muziki wa disco unaotumia ala za kielektroniki (synthesizer) kuwa maarufu katika tasnia ya muziki ya India, na aliimba baadhi ya nyimbo alizozitunga mwenyewe. Alikuwa maarufu sana miaka ya 1980 na 1990 kupitia nyimbo za filamu na Alipata mafanikio makubwa ya kibiashara hasa katika filamu za Kihindi, Kitelugu na Kibengali. Muziki wake uliendelea kupokelewa vizuri hadi karne ya 21. Mnamo Mwaka 1986, alitambuliwa na Guinness World Records kwa kurekodi zaidi ya nyimbo 180 ndani ya mwaka mmoja. Bappi Lahiri alifariki dunia mnamo tarehe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments