YENYE KIRUNGU 💛💚❤ 🔞

YENYE KIRUNGU 💛💚❤ 🔞

Sehemu ya kwanza Mume wangu ni mtu msiri sana ambapo ni mara nyingi tumekuwa tukigombana hasa pale ninapogundua kwamba kuna mambo ya muhimu amenificha kwa muda murefu. Hata hivyo ugomvi haijaweza kuwa tiba ya kuubadilisha usiri wake, naishi naye kama vile mimi sio mke wake halali wa ndoa. Nakumbuka siku moja aliniambia anaenda mkoani Iringa mimi aniache nyumbani maana tumejenga Kwangwa mkoani, Mara. "Kuna nini mume wangu?" Nilimuuliza "Kuna kazi naenda kufanya nimeagizwa ofisini" aliniambia "Lini wamekuagiza na unaenda siku ipi?" niliuliza "Naondoka kesho kutwa....siku baada ya kesho" "Mh....Mume wangu, hivi Jerry una tatizo gani my Love?" niliuliza "Kwanini?" "Mbona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments