
Basi maisha yakaendelea, nilikuwa sitoki nje, na nikitaka kwenda sehemu yoyote ile nilikuwa namuaga kwa upendo kabisa, alikuwa anafurahia sana namna ambavyo nilivyokuwa naishi nae, hakuwa anatembea kabisa, muda wake mwingi akawa anaumalizia nyumbani akiwa anacheza game au tunapiga stori za hapa na pale, na kiukweli ni kama kila mmoja wetu alikuwa anapenda sana kukaa karibu na mwenzake… Siku moja sasa akaja nyumban na mwanamke, na walikuwa wanaingia ndani wakiwa wameshikana mikono… Roho iliniuma sana, nikataman nimfate Yule mwanamke kisha nimtimue asimshike omari wangu ila nikajikaza tu, kwa sababu omari hajui kama nimeshamgundua, basi nikawatengea chakula ila siku hio nilikuwa
0 Comments