πŸ”₯πŸ”₯ BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUAπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ“πŸ“ Sehemu ya 16.

πŸ”₯πŸ”₯ BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUAπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ“πŸ“  Sehemu ya 16.

πŸ‘‰ Za saizi wote...πŸ‘‡ Nazani wazima acha nianze na somo la Leo hili mwenye swali aniulize niweze kujibu maswali yenu tega sikio sikia hili. MCHUMBA SIYO MUME Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wasichana wa siku hizi, wakielezea jinsi wapenzi wao walivyowasaliti. Unakuta binti anamsindikiza mchumba wake asubuhi akidai ana safari, lakini baadaye anasikia au kuona picha za harusi yake na mwanamke mwingine. Anakuwa ameagwa kwa upole, lakini kumbe alikoenda ni kufunga ndoa. Binti, kosa ni lako. Umekosea kuchanganya majukumu ya mke na mchumba. Mwanaume huyo si mume wako hadi ndoa ifungwe. Lakini umejitoa mno—unalala naye, unampikia, unampakulia, hata wengine

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments