
π Wewe msenge tu aya nishakuita msenge utaniambia nini unataka kunipangia cha kusema kwangu...π ( Kabla sijamjibu mkewe akadakia) " Mume wangu usirudie kutukana ilo tusi wala kumpiga juma yeye kosa ana mdogo wangu ndio kataka mwenyewe kufagia sasa juma awezi kumzuia ujifunze kuuliza kwanza kabla ya kutoa ukumu. " Naenda zangu kuchukua majani yangu. " Nenda. ( Aliondoka hapo mkewe alitoa laki moja akanipa) " Juma pole si unajua wanaume waliokuwa awana nguvu za kiume wanakuwa na hasira sana Pole. ( Nilisikia falaja kwanza ile pesa pili tusi alilompa mumewe kuwa nguvu za kiume ana...nikafanya kazi zangu mala karudi
0 Comments