Hajalishi Wewe Ni Mzuri Namna Gani Ila Chunga Sana Ndoa Yako Isifikie Huku!

Hajalishi Wewe Ni Mzuri Namna Gani Ila Chunga Sana Ndoa Yako Isifikie Huku!

Haijalishi wewe ni mwanamke mzuri namna gani, haijalishi una akili kiasi gani, haijalishi una mawazo mazuri namna gani, kama hujui jinsi ya kuongea na mwanaume wako, ni suala la muda tu atakuacha. Wanaume wengi hawaonyeshi hasira zao, hawatoi nyongo, hivyo wanachoka kimya kimya, na tatizo ni kwamba unaweza ukaishi ukidhani mnaendelea vizuri wakati yeye tayari amechoka ndani kwa ndani. Ukizungumza kila siku kwa namna inayomfanya mwanaume ajione mjinga, ajione hafai, au ajione hana thamani mbele yako, atakuvumilia kwa muda akiamini labda akili yako itafunguka na utabadilika, lakini ukigoma kubadilika, utashangaa tu siku unagundua kuwa anakupotezea muda na wewe unabaki tu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments