
Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 17 Mama Tausi na Mumewe walikuwa wanajiona wajanja Muno pia wanabahati Muno, yaani Wao walikuwa wanaona Ndo Wenye Mabinti tu pale Mjini wengine hawana. Kiukweli maisha Kwao yalikuwa matamu Muno maana wasitake Nini Kwa Binti Yao walikuwa wanapata. Yaani Mr Kisaka na Mkewe waliona mbona ni kama Dili hivi kumuozesha Mwanae Kama Mke Wa Pili kwa tajiri, waliona kitu cha kufanya Wacha wafanye hivyo hata kwa Tedi wamutafutie mwanaume Mtu mzima Mwenye Pesa Zake ili wamuozeshe Tedi!. Na kweli Bwana Mama Tausi alikuwa ni anaye jifyatua akili linapo kuja Swala la Pesa!. Kuna Baba
0 Comments