Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 19 to 20

Hadithi: ADANA(Mke Wa Kipofu)😭😭😭😭😭😭🧑‍🦯🧑‍🦯 19 to 20

Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 19 Aisee Adana hakika aliishiwa pawa Baada ya Kuona Mwili Wa Lwitiko, ni kweli kijana Lwitiko alikuwa kaaga maisha kama Utani Hivi, Adana pale pale alizimia kwa mapigo ya Moyo kupanda!. Adana alikuja kuzinduka Yupo wodini, Alipo kumbuka kile kilicho tokea alianza kuleta vurugu Upya, yaani alikuwa kama kachizika hivi!. Ni kweli Adana Alikuwa kachizika, yaani Akili Yake ilikuwa inaenda mulama kabisa!!. Kutokana na Hali ya Adana ilibidi akamatwe na kufungwa kamba, maana alikuwa kama kaanza kuchizika Hivi!. Majirani tu na baadhi Wa wanakanisa Ndo Watu walio livalia njuga swala la kuandaa Msiba Wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments