
Mtunzi: Mwaki Ze Done(0653814440 Sehemu Ya 5 Ndani ya nyumba ya kifahari ambayo ilionekana anaye ishi pale Naye Siyo kinyonge, alionekana Mama Tausi akiwa kashika ufunguo anaingia kwenye Gari!. Gafla Simu Yake iliita kuna taarifa nyeti Alikuwa anapewa, akiwa anaendelea kuongea na Simu Mara kuna Wamama wawili Wakiwa wamefura hasira waliingia Mule ndani!. "We Mwanamke taarifa Zako tunazo, tunahitaji watoto Zetu, tumepata taarifa Juzi Wewe Ndo uliwapakiza kwenye Gari ukiwa umewaambia ukawanunilie ice cream" "Bila watoto hatutoki Hapa kama Vipi tuuwe kabisa!" Yalikuwa malalamiko ya Wamama Hawa wawili Ambao kwa maelezo Yao walikuwa wamepoteza watoto Wao na kwa maelezo Yao
0 Comments