
Mwandishi:lissa mwalla Mm nikasema naomba tuondoke hapa, akasema nakuuliza nn kinaendelea unanipuza?nikasema babe ndio mana nakuambia tuondoke hapa ili nikakueleze sasa nini kinaendelea pliz hapa kila mtu anatutizama jmn ,akasema okay,aliomba bili akaletewa akalipa tukatoka,pipo aliangusha simu yake ivo nikaichukua.nikasema unapenda tuongelee wapi?akasema kwangu,nikasema okay,king aliendesha bila kuongea kitu,inaonesha hili jambo lilimtatiza sana.tulifika hatimae tukaingia bila hata kukaa akasema ehee anza kuongea,yule dogo n nani na kwa nn kaniita mm p na kukimbia vile?nikasema yule dogo alikua anauza duka la p arusha hivo p alikua kama kakake,akasema okay sasa kwa nn akimbie kuniona mm?hata kama ulisema nafanana na p sidhani
0 Comments