ZARA❤️ Sehemu ya 176 na 177

ZARA❤️ Sehemu ya 176 na 177

Whattsap; 0755090082 Mwandishi;lissa wa huru media Kwa uo mdaaa mi sikuwa nataka ata kumsikiliza kwanza hasira ilinitawala sanaaa, sikuwa nataka kusikia neno lake ata moja, akanmbia sikiliza nikwambia zara sijawahi kukuona ww kama mfanyakazi kwenye maisha yangu zara, kwangu ww ni mke , ila nilikuwa naona aibu kunjitokeza mbele yako kwa niliyokufanyia, zara mi nimeumia sanaa kuwa mbali na ww, sijawahi kukusahau ata siku moja ya maisha yangu , coz naelewa ww ndo mwanamke wangu zara ,nakupenda mnooo hujui tu, nakupenda zaidi ya nnavyompenda yoyote katika hii dunia, zara nisamehe , watoto wale ni wadogo sana wale wanatuhitaji wote, nisamehe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments