NDEFU HALAFU NENE ILA INANIKUNA SEHEMU 14

NDEFU HALAFU NENE ILA INANIKUNA  SEHEMU 14

Zikapita siku tatu mfululizo ,sikumuona yule baba walanyule mkaka tena akikatiza mtaani kwetu wala machoni mwangu... Basi buana hio siku nikiwa mwingi wa mawazo nikaamua kutembelea wadsu wangu wa hapo manzese...kama mjuavyo kunechangamka haswa..... "Naamini sitakosa kabisa..kitu siku ya leo wanangu hawawezi kuniacha hakika"nilizungumza. "Aaaah!!!nuru weee"domo zege aluzungumza.Sikutaka kunkatisha stimu nilimsogelea halafu nikamkumbatia na namna ananikubali hakuacha kunikunbatia...nilipogundua huyu mwehu ananiganda kama ruba nikamsukuma...hawakuacha kucheka kwa pamoja pale waliposhuhudia akianguka. "Oyaa kaza tako hilo utatolewa mari***"nilizungumza. Tulicheka kwa pamoja tukiwa tunatazama ....bila kusita nikamyanyua....kwa upendo wa domo zege akanikumbatia. "Inachosha hakika ebu naiche nian njaa mimi"nikazungumza. "Nipo na wewe nuru

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments