
Miaka mingi mbele ni kama vile tupo ulimwengu mwingine kuna script inataka kuandikwa tena... Ni Patrick Dorgu tena anataka kurudia pale alipopita Gareth bale... Patrick yupo zake left winger kwenye klabu ya Manchester United, kuna mtu aliuliza. "hii winger ya Patrick Dorgu mbona kama Carrick kakariri maisha".. Sikieni kitaa nje ya kufunga Patrick Dorgu anakupa faida kwenye kukaba na kushambulia kwa wakati mmoja.. Ukiwa hauna mpira Dorgu atafanya pressing kuanzia juu na ukiwa na mpira Dorgu atapiga cross au kufunga... Kamba kubwa mno dhidi ya Arsenal, Patrick Dorgu alipiga goti chini ndani ya nafsi na kusema " magwiji wote wa
0 Comments