KUMEKUCHA.. Wanasayansi wasema wamefanikiwa kuipata location ya (sehemu ilipo) mbingu! Dr. Michael Guillen

KUMEKUCHA.. Wanasayansi wasema wamefanikiwa kuipata location ya (sehemu ilipo)  mbingu!  Dr. Michael Guillen

, Mkufunzi wa zamani wa masomo ya phizikia, Hesabati na elimu ya anga katika chuo kikuu cha Harvard ameeleza kwamba anavyoona yeye ni kwamba mbingu inapatikana katika umbali wa malili 273,000,000,000,000,000,000,000 kutoka duniani! Chanzo: Tazama Comment. Haya watu wa mathe watusomee hizo namba na sisi tupate macho kujua ilipo mbingu!

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments