
Manchester United ni moja ya vilabu maarufu zaidi duniani, chenye makao yake Old Trafford, jijini Manchester, England. Klabu hii ilianzishwa mwaka 1878 ikiwa inaitwa Newton Heath LYR Football Club na ilihusishwa na wafanyakazi wa kampuni ya reli (Lancashire and Yorkshire Railway). Mwaka 1902, baada ya kupitia changamoto za kifedha, klabu ilibadilishwa jina kuwa Manchester United na kuanza kujengwa upya kifedha na kiutawala. Katika miaka ya mwanzo, United walipanda na kushuka, lakini mafanikio makubwa yalikuja kidogo kidogo. Mnamo 1908 walitwaa taji lao la kwanza la Ligi Kuu ya England (First Division wakati huo) na 1909 wakachukua Kombe la FA. Hata hivyo,
0 Comments