Ibraah Tz ameelezea kuwa katika game la bongo fleva wasanii walio fanikiwa tayari wengi wao wana malingo sana, hasa pale unapo kuwa unahitaji kufanya nao kazi

Ibraah Tz ameelezea kuwa katika game la bongo fleva wasanii walio fanikiwa tayari wengi wao wana malingo sana, hasa pale unapo kuwa unahitaji kufanya nao kazi

Ibraah anasema msanii peke ambae hana malingo ni mbosso, huyu yeye huwa ana kwambia moja kwa moja kuwa kwa sasa niko tayari au subiri muda fulani nitakutafuta tufanye kazi Lakini baadhi ya wasanii wakubwa unamtafuta ana kwambia nipo tayari nitumie hiyo nyimbo, una tumia nyimbo arafu anakaa kimya hata umpigie vipi kamwe hawezi kupokea simu Ibraah aliiambia wasafi Tv kuwa msanii mwingine ambae hana noma ni darassa, kipindi Ibraah alivyo mtafuta darassa, ili wafanye kazi ndio kipindi ambacho darassa alikuwa amepata msiba wa mama yake mzazi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments