NERIA Sehemu ya 7

NERIA Sehemu ya 7

Mwandishi;lissa mwalla Nilimshangaa alibadilika kabisa amekasirika mmh nikajiuliza huyu mbona hivi tena yani mm kubrid ndio sababu ya yeye kubadilika jamani?niliumia nikasema bby mbona hunielewi?akasema nimesema nenda bana kwani hunielewi au?kajifunze wapenzi wakitoka nje wanafanyaje kwanza ndio siku ingine usinijie mm unavuja vuja hapa fala wewe.nilijiskia vibaya akanirushia tshet yangu nikavaa nikaweka vizuri sketi nikatoka zangu nikamuacha yeye anasonya sonya.njia nzima nilikua nawaza mbona kabadilika vile jamani sasa nafanyaje?nilihisi kila anaeniona anajua kabisa kuwa nimefukutwa huko.nilipanda boda boda niakenda hadi nyumbn.nilifika mbali kidogo na shule na vile sikuchelewa muda tuliopewa kurudi shuleni nikarudi vizuri tu.nilipitiliza bwenini nikiwa na mawazo mengi.nilitamani

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments