
. Hivyo nilishindwa kukaa hostel kutokana na changamoto mbalimbali. Basi nikaja hapa kwa dada, ndiyo akaanza kunisaidia hadi chuo, nimamalize mwaka huu. Katika kukaa hapa, shemeji yangu alianza kunitongoza. Aliniahidi mambo mengi na kusema ukweli nilimuamini, kwa sababu ukiangalia yeye na dada, ndoa yao haiko vizuri kabisa. Basi baada ya kuona mambo hayako vizuri upande wao, nilijikuta nakuwa karibu na shemeji, tukaanzisha mahusiano. Nilijikuta nampenda shemeji wangu, alikuwa ananijali na kunifanyia vitu ambavyo hata hamfanyii dada yangu. Niliamua kubeba mimba yake. Nilipomwambia shemeji mwanzo aliniambia nitoe, lakini mimi niligoma. Nilijua tu ni kwa sababu anamuogopa dada. Ila baadaye alipoona msimamo
0 Comments