KAKA ME DADA YAKO 30 .

KAKA ME DADA YAKO 30 .

SIMLIZI: Sikilizeni niwambie kwa tatizo La ndugu kufanya mapenzi kaka na dada yake Tukipuuzia baada mda itawatafuna vijana na binti zetu Kila mmoja tamaa itawaka kwa ndugu yake Mda huu tuwabebeni wote hadi kwa Mganga wa kijiji Akatuambie cha kufanya Ili kusafisha hii laana. Lakini kikawaida huwa ni kuwauwa wote saa sita usiku Wakiwa wamelaliana Hapo laana haitakuwepo KAKA MIMI DADA YAKO SEHEMU YA 30 SONGA NAYO 👇 ♥️ 👇 ........................IMEZAMINIWA NA ASIA YAHAYA Samirat Kiswakala Hapa sasa niliona mda wa kufa Umetufikia hadi nilianza Kujilaumu kwanini Nimesema huyu ni kaka yangu Tulifikishwa hadi kwa mtabili wa kijiji Yaani mganga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments