
Kwa nyuma kulisikika viganja vikipiga Makofu vikisindikizwa na kicheko Hahaha aaaa 😅😅😅 Safi kabisa nmwote tuligeuka Sikuamini kumbe madam suzy akiwa na jeshi lake Alitia timu Heeeee mbona hiii ninoma Lakini mimi ndiye jenn hapa sitakufa bali nitawaona wanangu Haijalishi watakufa wangapi kikubwa nione kizazi Changu wakati nawaza haya gafura giza Likatanda angani Jua likatiwa giza KAKA MIMI DADA YAKO SEHEMU YA 31 IMEZAMINIWA NA ASIA YAHAYA AU FB ACCOUNT NI SAMIRAT KISWAKALA SONGA NAYOO 👇 ♥️ 👇 ..................... Hali sasa ilibadilika giza mbele yetu wananchi Wametuzunguka Nyuma yetu madam suzy akiwa na jeshi Lake Giza nalo limetanda mtabili alikimbilia
0 Comments