
Sehemu ya 1 Mwandishi :lissa mwalla Kwa jina naitwa Katrina moses,ni mtoto wa tatu na wa mwisho kwa mzee moses wa kwanza akiwa dadangu Elizabeth,wa pili dadangu Irene na wa mwisho ni mimi.baba yangu alikua nimtunza bustani katika nyumba ya tajiri mmoja aitwae dastan na mama yangu alikua anapika pombe za kienyeji.hali yetu ilikua sio nzuri kiuchumi kabisa.dada zangu walisoma mpaka darasa la saba da eliza akaenda jifunza cherehani na da Irene alikua nyumbn tu.nilipokua darasa la nne mzee dastani alikua anaisaidia sana familia yetu katika mambo mbali mbali na pia alikua na watoto watatu wawili wakiume lkn mmoja wa
0 Comments