KATRINA 4 hadi 5

KATRINA 4 hadi 5

Sehemu ya 4 Mwandishi :lissa mwalla Nilistuka,nikataka muangalia lkn alivonikumbata sikujua ni nani wala.na tyr muda huo kisaa moja giza limeshachukua umaarufu tyr.alinikumbatia vile nililiaa mpka nikatula,lkn yale manukato aliojipuliza nilinus avoizur na kuyapenda.niliponyamaza kulia akatoa leso na mkono mmoja akiwa bado amenikumbatia akanipa ,siku yake nayo ikaita akapokea hakusema chochote aliniachia na kuanza kuondoka,nilishia kuona jaket tu jeusi linaenda na suruali lkn sikujua ni nani,nilibaki na kile kitambaa kilichokua kinanukia manukato mazuri sana.nilirudi bwenini kwa mercy nikamkuta amejilaza,aliponiona tu akasema chakula hiko apo nimekuchukulia ule,nikasema asante,akasema maji ya moto yapo jikoni kabla hujala kaoge mara moja mana tunakaribia kwenda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments