
Sehemu ya 9 Mwandishi :lissa mwalla Niliuvuta mkono wa flavio toka kwake kisha niaksema bye,flavio hakuelewa akasema powa baye,nikasema asante sana.nikaondoka na mizigo yangu ilikua mingi snaa,freya aliniona akaanza kuniita,akasema we kat kat,muda huo flavio anageuza gari yake aondoke zake,hapo nina begi la mgongoni nalo alininunulia flavio zuri sana gumu la gharama la madaftari pia hivo niliweka vitu vyangu vingine humo.nilisimama akasema ndio unafika?nikasema ndio,akasema Yule aliekuleata nani?nikasema ni makaka tu alinipa lift na hajanileta ila akikua anamleta ndugu yake kijiji cha nyuma huko ndio na mm nilikua stend nikapewa lift.akasema ahaa nimemuona ila mbaya Yule kaka jmn khaa,nikasema mmh
0 Comments