kibabage ni mali Tena mali kweli kweli Simba ni kicheko tu

ikiwa ni mchezo wake wa kwanza akiwa na jezi ya wekundu wa msimbazi Simba nchini Tunisia jina la kibabage limetajwa sana kwenye vibanda umiza vingi sana na wote walikubaliana kuwa kibabage ni mchezaji wa kiwango Cha kimataifa uwi mtazamo wako

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments