
SEHEMU :1 &2 " Habari za asubuhi madam lulu " alisalimia bibi zubeda ambae ni mfanyakazi wa jumba la Mr Hudson " Salama nikusaidie Nini bi zubeda mbona asubuhi asubuhi chumbani kwangu ?" Aliuliza bi lulu ambae ni mke wa Mr Hudson " Samahani sana madam kama nimekuamsha mapema ila ni jambo muhimu sana " " Ni jambo Gani Hilo ?" Bi lulu alikaa vizuri pale kitandani kumsikiliza bi zubeda " Mr Hudson ampiga sana simu anasema haupokei amepiga simu ya nyumbani na kuacha maagizo anasema mtoto wenu kipenzi Jason anarudi Leo mnatakiwa kwenda kumpokea pamoja uwanja wa ndege "
0 Comments