MCHEZA CHURA Sehemu ya 10 na 11

MCHEZA CHURA Sehemu ya 10  na 11

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Basi bwana .baada ya week 2 sasa. Nyumba yangu ya mbezi beach ilishaisha na ikawa poa kabisa. So sikutaka mambo mengi .nikanunua furnitures mpya kabisaaa. Kisha sasa pale kwangu kwa zamani .nikatafuta mpangaji nikapangisha.mie nikaamia makazi mapya sasa.na kivuruge wangu. Apo ananiuliza sana kwani baba mama analudi lini na kule hospital kuna mdogo wangu eeeh. Namwambia ndio kuna mdogo wako. Alafu mama ataludi tu we wala usijali. Ananmbia ahaa mimi namiss sambusaa. Basi akinambia hivyo namtoa out nampeleka akale hizo sambusa. Mai bwana atasema yani hizi sambusa mbaya sio kama za mama yangu. Mama anajua

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments