MCHEZA CHURA Sehemu ya 12

MCHEZA CHURA Sehemu ya 12

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Mh uyu dada mzuri bwana . Kwanza mweupe . Mnene kiasi kisha kafungusha kweli kweli uko nyuma. Yani uyu mdada unajua hakuwa anafanania kutoka songea kabisa. Yani sijuh ata nielezeje.yani .mama alivyokuwa anannbia ananitafutia mdada wa kazi. Mi sikutegeme kama ndo ntampaga mafanyakazi wa ivi.kwanza uyu dada ni mkubwa. Anakalibia miama 25 hivi. Wala sip wale wasichana wadogo kisha kimependeza sana. Yani wala.sio kashamba kashamba.Basi akaja kwa heshima akanisalimia. Nikamuitikia tu. Uku nikimungalia sana .na nikawa na maswali mno. Mama akasema AIDA. uyu ndo boss wako na ndo kaka yako na ndo mwanangu wa pekee

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments