
Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Basi nikatulia home pale. Uku watu wakila kama kawaida tena. Si unajua watu wazito sisi. Na baada ya siku 3. Ndugu wote walishaondoka. Pale home walibaki wakwe zangu na wazazi wangu. Binafsi sikutaka tena kuishi pale. Na mimi nilikuwa naona sitaweza . Ntakuwa namuona mke wangu mno. So nna nyumba yangu nyengine nilikuwa naijenga mbezi beach ila.kuna vitu bado sikuwa nimemaliza. Aseeee nikaongeza nguvu uko na nikawapa week 2 tu mafundi wawe wameshamaliza kila kitu. Basi nilikuwa nyumbani tu kama week 1. Hivi na baada ya week sasa wazazi wakanmbia ratiba nyengine lazima ziendelee. Na
0 Comments