NERIA Sehemu ya 31

NERIA Sehemu ya 31

Mwandishi;lissa mwalla Nilimsogelea kabla sijafika baba milka akamsukuma aakamzaba na kibao akasema koma kunisogelea na kunigusa Malaya mkubwa wewe, ww unahadhi ya kunishika mimi wewe? Unauwezo wa kunishika mimi wewe mshenzi nini toka hapa, nora akasema yani leo unanipiga mm unanipiga kisha nini? Nakukomesha akamsogelea ndio mm nikasogea na chupa nilitaka mtandika nayo ya uso kayombo nae alikua amefika akanidaka akasema shem noo shem utaua shem afu utafungwa sheji yangu, achama na huyu changudoa shemeji yangu ww sio wa hadhi yake kabisa. Nikasema shem huyu mwanamke amenitesa sana mm shem siwezi kumuacha na yeye ananijua vizuri sana. Nora alikua kimya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments