
Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Basi nikaelewana na aida vizuri kuhush suala la kulea watoto . Na baada ya apo . Mimi nikaingia chumbani kwangu. Na kesho yake mapema sana niliamkia hospital. Na nikakutana na Dr. Akanmbia mtoto anaendelea vizuri na sasa naweza kupewa. Na kweli nikapewa mtoto wangu. Aseee ni bado kadogo . Kanalia pale. Nikawa nambembeleza. Yule dr akanmbia mr nillan wala usijali na usiwe na shaka kabisa. Uyu mtoto atakuwa vizuri mpaka utashangaaa . Kuwa na amani kabisa mr Nillan. Nikasema sawa hakuna shidaa. Na nikaruhusiwa kuondoka na mtoto wangu.basi mimi nikaludi home na mtoto. Aida akanipokea
0 Comments