MCHEZA CHURA Sehemu ya 15

MCHEZA CHURA Sehemu ya 15

Whatssap; 0786796363 MWANDISHI; HABIBA MARAMOJA Basi kama.masihara .ila ikapita miez 6 . Nipo napambana na hali zangu. Nashukuru aida alikuwa analea watoto wangu vizuri sana uyu binti yani kama wa kwake. Na ni mzuri .ila sikuwah kumtamani kabisaaa. Yani kwanza nikiludi ntaslimiana nae. Ntawasalimia wanangu. Nikiingia chumbani sitoki ndo nalala hivyo.kula nakula kazini kabisa. Mala chache sana ndo huwa nakula nyumbani. Yani mai ndo atakuja yey kama.siku anajisikia kulala na mimi. Au kama.mm nahitaji kulala na watoot wangu ndo ntataoka nawachukua naingia nao ndani.bado katika maisha sikuwa na rahaa. Kuna kitu kikubwa kilinipungua yani. Basi siku iyo ilokuwa ni week

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments